Ibada Lyrics ibada_lyrics UWEPO lyrics by Mercylinah Wambungu

UWEPO lyrics by Mercylinah Wambungu

Lyrics Of The Song UWEPO lyrics by Mercylinah Wambungu

Song ID 329

uwepo wako nahitaji maishani uwepo wako wa dhamana sana mimi sitoki hata siendi bila uwepo wako Bwanaa Bwanaa 2 ninapowezwa na magonjwa ninaye jehovah rapha nikiwa na mahitaji ninaye jehovah jireh amani ninapoikosa ninaye jehovah shalom moyo wangu tulia tunaye jehovah shamah shauku la moyo wangu nipate zaidi yako zaidi na zaidi na zaidi hakuna cha kuogopa nunaye el olam Mungu muumbaji wangu ndiye elohim mchungaji wangu ndiye jehovah rohi tena msaidizi wangu ndiye jehovah elyon katika uwepo wako kuna uponyaji twawekwa huru kuna amani tena furaha kuna ushindi msamaha twatiwa nguvu

UWEPO lyrics by Mercylinah Wambungu.mp3

UWEPO lyrics by Mercylinah Wambungu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post