Ibada Lyrics ibada_lyrics Wakati wa Mungu

Wakati wa Mungu

Lyrics Of The Song Wakati wa Mungu

Song ID 866

kwani we bratha unaombanga vipi how do you pray my brother mbona ya kwangu hayasikiki why are my prayers not heard nafunga daily na bado nashindwa vipi i fast daily how is it that i am still defeated wakati wa Mungu nikama tsunami ya maji Gods time is like a tsunami of water ukuta hauwezi kuzuia lazima utabomoka a wall cannot prevent it it must crumble wakati wa Mungu nikama upepo mkali Gods time is like a mighty wind mlango hauwezi kuzuia lazima utafunguka a door cannot prevent it it must open wakati wa Mungu humpata kila mtu Gods time reaches every one we kuwa na subira andika haya kwenye shajara you be patient write this in your diary wakati wa Mungu ukikujilia mazingira si kitu yapinge when Gods time comes to you environment is nothing oppose it wakati wa Mungu ukikujilia mwanadamu ni nani apinge when Gods time comes to you who is human to oppose it usichoke ngoja do not tire wait ngoja ngoja wait ukujilie for it to come to you wewe subiri tu you just wait repeat yo nilisoma na ma guys na washapata ma kazi i went to school with some guys who already have jobs mwanafu anapata fursa ya kula cha mkufuu the student has had the opportunity to enjoy the teachers privilege mimi bado nauliza kama nitawai pata nafuu i still ask if i will ever find relief ama kweli talanta itafanya nile na wakuu or if my talent would make me eat with the greats wakati waa Mungu je utawai nifikia will Gods time ever arrive for me baraka zangu niweze kuzipokea for me to receive all my blessings wakati wa Mungu kweli utakufikia when Gods time truly will arrive for you baraka zako ueze kuzipokea for you to receive all your blessings nimechoka kungoja i am tired of waiting

Wakati wa Mungu.mp3

Wakati wa Mungu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post