Yesu Mwema

Lyrics Of The Song Yesu Mwema

Song ID 2432

Yesu mwema najitolea kwako kwa leo hii na siku zote nafsi yangu na moyo wangu wote heri kweli heri kweli heri kweli raha ya uwingu x2 ndani yangu umekuja daima kua nami ni pendo lako ewe mpenzi mwenye utamu mwingi ni mapendo ni mapendo ni mapendo ya roho ya ako x2 nitaweza kukurudishia nini kwa wema huu na pendo lako roho yangu umeifadhilia nikupende nikupende nikupende ni tamaa yangu x2 weka rabii katika roho yangu wema wako na unyenyekevu na pendo kuu fadhili ya imani niongoze niongoze niongoze katika imani x2

Yesu Mwema.mp3

Yesu Mwema.video.mp4 YouTube

 

Hits: 26

Leave a Reply

Related Post