Lyrics Of The Song Njoni Nyote
Song ID 3562
njoni nyote x2 mbele za Bwana tumwimbie tumwabudu tumshangilie njoni tupige magoti sote mbele za Bwana maana ndiye Mungu kweli aliyetuumba sisi sote tuko malishonii ya Bwana heri leo tusikie sauti yake amejaa neema kweli amejaa huruma fadhili za Bwana sote tutaziimba fadhili za Bwana ndiye mkuu kweli na yeye ni mwenye shibe kwa watu wote tumshukuru Bwana sote kwa nyimbo nzuri tumwimbie na zaburi tumshangilie ingia nyumbani mwake kwa roho safi utoe ibada pia sadaka safi tupige makofi na kelele za shangwe ni furaha Mungu wetu atuchagua
Hits: 9