Lyrics Of The Song Akutendee Nini
Song ID 1719
wataka akutendee nini akutendee nini wewe wataka akutende nini akutende nini wewe neno moja nalitaka kwa Bwana nalo ni hili nikae nyumbani mwake siku zote za maisha yangu gala lake limejaa hakuna anayepunguza hata robo akutende nini wewe wengine wataka kuwa raisi wa nchi wengine wataka ubunge akutendee nini wewe mwengine ombi lake apate shamba huyu mume na huyu mke wataka akutendee nini wewe mama huyu ombi lake apte mtoto mwengine apate elimu wataka akutende nini wewe nakumbuka mgonjwa birikani miaka thelathini na nane alikuwa hajiwezi yeye Yesu akatetembelea birika lile akamwona mgonjwa yule mara akaanza sababu zake malaika akifika akitubua maji mimi huwa wa mwisho Yesu akasema neno moja jitwike Godoro lako na uende mara akawa mzima mzima
Akutendee Nini.video.mp4 YouTube
Hits: 7