Huyu Yesu

Lyrics Of The Song Huyu Yesu

Song ID 395

huyu Yesu si sanamu si mwanadamu adanganye ahadi zake zote kweli na amina nimemuona na akisema ndio hakuna wa kumpinga akikubariki hakuna wakunyanganya akiku ahidi kwa wakati atimiza anavyokuita ndivyo ulivyooo huyu Yesu huyu Yesu si hadithi mwambie unatangaziwa nini umetabiriwa nini maishani mwako mwambie unaumizwa na nini je unahofu gani maishani mwako mwambieeee na akisema ndio hakuna wa kumpinga akikubariki hakuna wakunyanganya akiku ahidi kwa wakati atimiza anavyokuita ndivyo ulivyooo huyu Yesu huyu Yesu si hadithi mwambie onhoooo mwambiee ehee huyu Yesu huyu Yesu si hadithi mwambie mercy masika huyu Yesu

Huyu Yesu.mp3

Huyu Yesu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 7

Leave a Reply

Related Post