Lyrics Of The Song Altare Yake Twendeni
Song ID 763
altare yake Mungu baba njoni twendeni tumealikwa kwake leo sote tumsifu Mungu baba milele na milele twendeni sote altarini altare altare twendeni altare altare altare yake Mungu baba twende tumpokee sisi sote mioyoni mwetu tumealikwa kwake leo sote tumsifu Mungu baba milele na milele twendeni sote altarini aliutoa mwili wake kwa ajili yetu tumealikwa kwake leo ahadi yake ndiyo hiyo aliyo itimiza twendeni sote altarini aliimwaga damu yake kwa ajili yetu tumealikwa kwake leo ahadi yake ndiyo hiyo aliyo itimiza twendeni sote altarini
Altare Yake Twendeni.video.mp4 YouTube
Hits: 12