Lyrics Of The Song Ametenda Mema Huyu Yesu
Song ID 2565
ametenda mema huyu Yesu ndio maana sisi tunakutuza ametenda mema maishani mwetu ndio maana sisi tunakutuza ametenda mema huyu Yesu ndio maana sisi tunakutuza ametenda mema eeh Bwana ndio maana sisi tunakutuza tunatukuza jina lako yahweh eeh baba tunakutuza tunatukuza jina lako Bwana eeh baba tunakutuza tunatukuza jina lako Yesu eeh baba tunakutuza kwa lesa yote kwa lesa kwa lesa yote kwa lesa kwa baba yote kwa baba kwa lesa yote kwa lesa awesome God mighty God i give you praise awesome God mighty God i give you praise you are higher lifted up awesome God you are higher lifted up awesome God iyaa iya oh ooh iya iya we give praise we give praise i give you praise you are higher lifted up mighty God
Ametenda Mema Huyu Yesu.video.mp4 YouTube
Hits: 6