Nainama

Lyrics Of The Song Nainama

Song ID 3096

duniani na mbinguni hakuna Mungu mwingine jina Yesu likitajwa nainama nainama mwamba imara kwako niko salama nikupe nini Mungu usiyeshindwa mwamba imara kwako niko salama nikupe nini Mungu usiyeshindwa jina lako Yesu limeshinda yote nikipata Yesu nimepata yooote mkate wa uzima niwe mfalme wa amani niwe mkate wa uzima niwe mfalme wa amani niwe duniani na mbinguni hakuna Mungu mwingine jina Yesu likitajwa nainama nainama nainama nainama wakati wa dhiki wewe ndiwe faraja wakati wa kilio wewe ndiwe furaha unanijua baba siwezi jificha maji yako baba yako kila pahali jina lako Yesu limeshinda yote nikipata Yesu nimepata yooote mkate wa uzima niwe mfalme wa amani niwe mkate wa uzima niwe mfalme wa amani niwe niwe niwe niwe duniani na mbinguni hakuna Mungu mwingine jina Yesu likitajwa nainama nainama nainama nainama

Nainama.mp3

Nainama.video.mp4 YouTube

 

Hits: 5

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post