Lyrics Of The Song Bwan Yesu Alitamka
Song ID 174
s t Bwana Yesu alitamuka all mimi ndimi njia ya kweli s t mtu haji kwa baba yangu all ila kwa njia yangu mimi x2 sop hebu jiulize njia ipi waifuatayo all jiulize njia ipi waifuatayo x2 nawe waelekea wapi nawafuata njia ya kweli x2 s t ngamia ni rahisi sana all kuingia tundu la sindano s t kuliko mtu mwenye dhambi all kuingia mbinguni kwa baba x2 s t njia nyembamba yenye taabu all yaeleka mbinguni kwa baba s t nailepana yenye raha all yaelekea jehanamu x2 s t mimi ndimi mwanzo na mwisho all mimi alpha na omega s t mtu haji kwa baba yangu all ila kwa njia yangu mimi x2
Bwan Yesu Alitamka.video.mp4 YouTube
Hits: 16