Lyrics Of The Song Bwana ni nuru yangu
Song ID 3882
Bwana ni nuru yangu ni mwogope nani yeye ni ngome ya maisha yangu sita hofu mimi mtu yeyote neno moja nimetamani nalo nitakamia nikae nyumbani mwake Bwana na kumtazama milele wajapo maadui zangu kiniandama watajikwaa nijapozingirwa na majeshi sita hofu mimi moyoni wewe umsaada wangu hutaniacha kamwe wazazi wajaponiacha mimi wewe Bwana wangu kimbilio
Bwana ni nuru yangu.video.mp4 YouTube
Hits: 76