Ibada Lyrics ibada_lyrics Bwana U SEHEMU YANGU

Bwana U SEHEMU YANGU

Lyrics Of The Song Bwana U SEHEMU YANGU

Song ID 1459

Bwana u sehemu yangu rafiki yangu wewe katika safari yangu tatembea na wewe pamoja na wewe pamoja na wewe katika safari yangu tatembea na wewe mali hapa sikutaka ili niheshimiwe na yanikute mashaka sawasawa na wewe pamoja na wewe pamoja na wewe heri nikute mashaka sawasawa na wewe niongoze safarini mbele unichukue mlangoni mwa mbinguni niingie na wewe pamoja na wewe pamoja na wewe mlangoni mwa mbinguni niingie na wewe

Bwana U SEHEMU YANGU.mp3

Bwana U SEHEMU YANGU.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Related Post