Lyrics Of The Song Ee Baba Twaleta Zawadi Zetu
Song ID 1424
ee baba twaleta zawadi zetu ee baba twaomba uzipokee japo ni kidogo sana ee baba bass twakusihi sana baba uzipokee mkate na divai ewe baba twaomba uvipokee x2 na mazao ya mashamba ewe baba x2 twaomba uvipokee x2 tunaleta fedha zetu ewe baba x2 twaomba uvipokee x2 mawazo nia zetu ewe baba x2 twaomba uvipokee x2 tubariki nasi pia ewe baba ili tuzidi kutoa x2
Ee Baba Twaleta Zawadi Zetu.mp3
Ee Baba Twaleta Zawadi Zetu.video.mp4 YouTube
Hits: 6