ENTRANCE

Lyrics Of The Song ENTRANCE

Song ID 2030

twende sote nyumbani mwake twende sote nyumbani mwake Bwana Mungu aee twende sote nyumbani mwake aliye tuumba yeye ndiye kinga yetu Bwana Mungu aee twende sote nyumbani mwake aliye tuumba yeye ndiye nguvu yetu Bwana Mungu aee twende sote nyumbani mwake aliye tuumba yeye Bwana wa majeshi ndiye Mungu wa yakobo ni mfalme wa dunia ni mfalme wa mbunguni ndiye Mungu wa wokovu ni hekima ya dunia pendo lake la milele yeye ndiye mwana kweli yeye apendaye haki ndiye Mungu mwaminifu yeye Mungu wa rehema Mungu wetu wa milele shangwe na vigelegele tumsifu Mungu wetu

ENTRANCE.mp3

ENTRANCE.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Related Post