Ibada Lyrics ibada_lyrics Kijito Cha Utakaso

Kijito Cha Utakaso

Lyrics Of The Song Kijito Cha Utakaso

Song ID 1239

kijito cha utakaso ni damu ya Yesu Bwana anao uwezo kunipa wokovu kijito cha utakaso nizame kuoshwa humo namsifu Bwana kwa hiyo nimepata utakaso viumbe vipya naona damu ina nguvu imeharibu uovu ulionidhulumu ni neema ya ajabu kupakwa na damu na Bwana Yesu kumjua Yesu wa msalaba kijito cha utakaso nizame kuoshwa humo namsifu Bwana kwa hiyo nimepata utakaso kijito cha utakaso nizame kuoshwa humo namsifu Bwana kwa hiyo nimepata utakaso

Kijito Cha Utakaso.mp3

Kijito Cha Utakaso.video.mp4 YouTube

 

Hits: 31

Leave a Reply

Related Post