Kwa Kalvari

Lyrics Of The Song Kwa Kalvari

Song ID 3704

muda mwingi nilipotea sikufahamu msalaba wala aliyenifilia kwa kalvari rehema bure na neema samaha nalo nilipewa ndipo aliponifungua kwa kalvari kwa neno lake Bwana Mungu nilijiona mimi mwovu nikageuka na kutubu kwa kalvari yote kwa Yesu namtolea ndiye mfalme wa pekee sasa kwa furaha nitamwimbia wa kalvari jinsi pendo lilivyo kuu neema ilishuswa toka juu alitufanyia wokovu kwa kalvari

Kwa Kalvari.mp3

Kwa Kalvari.video.mp4 YouTube

 

Hits: 7

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post