Ibada Lyrics ibada_lyrics Mbele Ya Hukumu

Mbele Ya Hukumu

Lyrics Of The Song Mbele Ya Hukumu

Song ID 159

mbele ya hukumu Yesu mwokozi alisimama mbele ya wakuu kesi ilipita ya kuingia kwa msalaba kifo cha aibu alishika njia kwenda kalvari alishika njia kwenda machinjoni sababu yetu alipofika kalvari akawambwa Yesu akalia sanaa oh oh eloi eloi lamansabakitani Mungu wangu mbona umeniacha akaomba baba weka roho yangu kazi imekwisha weka roho yangu usiniache oh oh akaomba baba pokea roho yangu tangu saa sita mpaka saa tisa kukawa giza kisha tetemeko lile pazia kwenye hekalu likapasuka yote yakaisha hilo ni pendo kiasi gani alilotoa baba Mungu wetu ili tuitwe watoto wake mimi na wewe na dunia nzima

Mbele Ya Hukumu.mp3

Mbele Ya Hukumu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post