Ibada Lyrics ibada_lyrics Mnyunyizi Wangu

Mnyunyizi Wangu

Lyrics Of The Song Mnyunyizi Wangu

Song ID 321

uninyunyiziaye maji wakati wa ukame huwachi ninyauke oh nakupenda uninyunyiziaye maji wakati wa ukame huwachi ninyauke oh nakupenda nakupenda nakupenda mnyunyizi wangu oh nakupenda nakupenda nakupenda mnyunyizi wangu oh nakupenda kama mti kando ya mto hivyo ndivyo ilivyo mnyunyizi wangu oh nakupenda kama mti kando ya mto hivyo ndivyo ilivyo mnyunyizi wangu oh nakupenda kiarie nakupenda jehovah wewe ni mnyunyizi wangu unaninyunyizia maji wakati wa ukame huachi ninyauke unaninawirisha jehovah jina lako nalitukuza nakupenda kwa roho yangu yote nitakutumikia maishani mwangu jehovah nakuimbia wimbo mpya sina mwingine

Mnyunyizi Wangu.mp3

Mnyunyizi Wangu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post