Ibada Lyrics ibada_lyrics Mpeni Mungu Mali Yake

Mpeni Mungu Mali Yake

Lyrics Of The Song Mpeni Mungu Mali Yake

Song ID 1433

mpeni Mungu mali yake mpeni Bwana haki yake x2 leteni zawadi kwa Bwana mpeni Mungu mali yake mkate kiini cha ngano mpeni Bwana haki yake divai tunda la mzabibu mpeni Mungu mali yake na Bwana atazibariki mpeni Bwana haki yake na kazi ya mikono yetu mpeni Mungu mali yake nazo nafaka za mashamba mpeni Bwana haki nayo mapato ya shughuli mpeni Mungu mali na Bwana atayatakaza mpeni Bwana haki yake vitu vyote ni vyake Bwana mpeni Mungu mali toeni nafsi zenu kwake mpeni Bwana haki yake nayo furaha na uchungu mpeni Mungu mali yake na Bwana atazipokea mpeni Bwana haki yake sisi ni mali yake Bwana mpeni Mungu mali yake zitangazeni sifa zake mpeni Bwana haki yake uhubirini ukuu wake mpeni Mungu mali yake milele hata na milele mpeni Bwana haki yake

Mpeni Mungu Mali Yake.mp3

Mpeni Mungu Mali Yake.video.mp4 YouTube

 

Hits: 13

Leave a Reply

Related Post