Mtindo

Lyrics Of The Song Mtindo

Song ID 1461

shetani anainama anainuka anaona moto mwenyewe anatoroka shetani anainama anainuka anaona moto mwenyewe anatoroka huyu Yesu amekuwa daddy amekuwa nami ni mchungaji wa me hata kuende aje siwezi worry ni mchungaji wa me mbona mnangangana na mambo ya jana jana tumwachie Bwana Bwana kile mi nataka mjue kuokoka ndo mtindo uoh kuokoka ndio mtindo uoh kuokoka ndio mtindo uoh tunakubali na mastingo uoh na safari ni ndefu sijakata lakini bado huyu Yesu sisi tuta ni bora uamini tuamini vile inafaa mimi nishakupa siri usipoteze masaa sheteni anainama anainuka anaona moto anatoroka usikubali dunia iwe mahali utaishia usi usikubali dunia usikubali dunia

Mtindo.mp3

Mtindo.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Related Post