Ibada Lyrics ibada_lyrics Mtoto Wa Mwenzio

Mtoto Wa Mwenzio

Lyrics Of The Song Mtoto Wa Mwenzio

Song ID 3678

Yesu alisema wacheni watoto waje kwangu maana ufalme wa mbinguni ni wao msiwazuie alionyesha upendo kwa watoto mtoto wa mwenzio muone kama mtoto wako endesha gari polepole usije kugonga mtoto mtoto wa mwenzio muone kama mtoto wako endesha pikipiki polepole hapo mbele kuna watoto mtoto wa mwenzio muone kama mtoto wako aah mtoto wa mwenzio ni wako mtoto wa mwenzio muone kama mtoto wako mwanza wa sukuma wanasema mtoto wa mwenzio muone kama mtoto wako uluya wanasema mtoto wa mwenzio muone kama mtoto wako wajaka wanasema mtoto wa mwenzio muone kama mtoto wako iringa wanasema mtoto wa mwenzio muone kama mtoto wako wasafa wanasema mtoto wa mwenzio muone kama mtoto wako pengine akikua atakuwa doctor akutibu nawewe mtoto wa mwenzio muone kama mtoto wako pengine akikua atakuwa mwanajeshi atulinde wote mtoto wa mwenzio muone kama mtoto wako pengine akikuwa atakuwa raisi atulinde wote mtoto wa mwenzio muone kama mtoto wako huenda ta rais wa sasa ni mtoto wa mwenzako mtoto wa mwenzio muone kama mtoto wako mtoto wa mwenzio mthamini kama wa wako mtoto wa mwenzio muone kama mtoto wako endesha gari polepole usije kugonga mtoto mtoto wa mwenzio muone kama mtoto wako endesha pikipiki polepole hapo mbele kuna watoto mtoto wa mwenzio muone kama mtoto wako aah mtoto wa mwenzio ni wako mtoto wa mwenzio muone kama mtoto kwako mtoto wa mwenzio mheshimu usimtamkie maneno mabaya mtoto wa mwenzio ametoka shule usimchanganye mtoto wa mwenzio mtie moyo aweze kusoma mtoto wa mwenzio usimchanganye na chipsi nyama choma mtoto wa mwenzio muone kama mtoto kwako

Mtoto Wa Mwenzio.mp3

Mtoto Wa Mwenzio.video.mp4 YouTube

 

Hits: 8

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post