Lyrics Of The Song Mwaminifu
Song ID 2600
mwaminifu toka mwanzo hadi sasa yeye anatosha yeye anatosha anatenda mambo mengi ya ajabu yeye anatosha yeye anatosha Mungu habadiliki kamwe yeye halinganishwi kamwe oooh baba hafananishwi kamwe anatenda mambo mengi makuu uuh tumuite baba tumwimbie Yesu tumwite baba baba baba hey tumwite baba baba baba eeiye knowing this kind of a favour God knowing this kind of and awesome God no one compares to you my king you are an awesome God king of kings saviour you are the alpha and still the omega eeiye standing on the solid rock Mungu habadiliki kamwe yeye halinganishwi kamwe oooh baba hafananishwi kamwe anatenda mambo mengi makuu uuh tumuite baba tumwimbie Yesu ooh tumwite baba baba baba heeyi tumwite baba baba baba eeyah mwaminifu wakati wote tumwite baba alitukomboa tumwite baba akatuweka huru tumwimbie Yesu tumwite baba baba baba mwaminifu toka mwanzo hadi sasa
Hits: 2