Ibada Lyrics ibada_lyrics Nani Kama Wewe nakuinua Mungu wangu leo

Nani Kama Wewe nakuinua Mungu wangu leo

Lyrics Of The Song Nani Kama Wewe nakuinua Mungu wangu leo

Song ID 2318

nani kama wewe nakuinua Mungu wangu leo nani kama wewe nakupenda nani kama wewe nakuinua Mungu wangu leo nani kama wewe nakupenda miguuni pako nakuinamia Bwana heshima na utukufu baba nakupa Yesu nimekuja nikuinue nimekuja nikupende miguuni pako nakupenda enzini pako nakuinamia Bwana enzini pako nainua mikono enzini pako nakuabudu Bwana enzini pako pokea utukufu baba hakuna mwingine tena mwenye enzi na utukufu kama wewe shallom baba u Mungu wa wajane baba mweza yote kwa mayatima nani mwingine kama wewe nakupenda sina mwingine kando yako ninakushukuru baba nakwinamia wewe unastahili nani kama wewe Bwana hakuna mwingine kama wewe Bwana mfariji kama wewe Bwana hakuna mwingine kama wewe Bwana duniani mbinguni na chini baba hakuna mwingine kama wewe Bwana nani kama wewe Bwana hakuna mwingine kama wewe Bwana amina amina oh ooh amina milele wewe ni Mungu tunasema amina milele jehova shallom jehova nissi amina milele jehova elshadai jehovah adonai amina milel

Nani Kama Wewe nakuinua Mungu wangu leo.mp3

Nani Kama Wewe nakuinua Mungu wangu leo.video.mp4 YouTube

 

Hits: 7

Leave a Reply

Related Post