Ibada Lyrics ibada_lyrics Ni Nani Kama Mama Maria

Ni Nani Kama Mama Maria

Lyrics Of The Song Ni Nani Kama Mama Maria

Song ID 1920

ni nani kama mama maria mwombezi wetu x2 mama atuombea kwake Mungu x2 ni nani kama mama maria bikira daima x2 ni nani kama mama maria moyo safi x2 ni nani kama mama maria mnyenyekevu x2 ni nani kama mama maria milele daima x2

Ni Nani Kama Mama Maria.mp3

Ni Nani Kama Mama Maria.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post