Ibada Lyrics ibada_lyrics Mama Maria Mwombezi Wetu

Mama Maria Mwombezi Wetu

Lyrics Of The Song Mama Maria Mwombezi Wetu

Song ID 3330

mama maria mwombezi wetu mama wa neema na huruma tusikilize mama wa Yesu tusikilize wakosefu twakuomba mama maria kwa mwanao mama tuombee sala zetu mama maria kwa mwanao mama zifikishe nyoyo zetu mama maria zatamani kufika mbinguni mama maria uliye mwema mtuliza nyoyo zetu wanao tunaposhindwa tusaidie tushike baji katika nyika mama maria twakuamini mama wa Mungu msaada wetu matumaini yetu ni kwako katika shida tusimamie mama maria usituache tupelekee yetu maombi utubariki wenye mashaka tupate uzima wa milele

Mama Maria Mwombezi Wetu.mp3

Mama Maria Mwombezi Wetu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 8

Leave a Reply

Related Post