NISHIKILIE

Lyrics Of The Song NISHIKILIE

Song ID 1054

wewe ni nguzo yangu wewe kimbilio langu mwanga wangu baba yangu nikikimbia nimkimbilie nani nikikilia nimlilie nani nikianguka nani aniamshaye nikilala nani anilindaye nishikilie niongoze m bali na waovu baba eh nionyeshe njia zako n ami nitazifuata milele gongo lako na fimbo yako vya nifariji baba eh waanda meza mbele yangu machoni pa watesi wangu

NISHIKILIE.mp3

NISHIKILIE.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post