Lyrics Of The Song SAFARI BADO
Song ID 1576
mfalme belshazzar maandiko yanamsimulia alilewa madaraka akamkosea Mungu alipopata ufalme alichanganyikiwa mpaka akathubutu kutumia vikombe vya hekalu mfalme belshazzar alishangaa kuona mkono unaandika ukutani na anayeandika alikuwa haonekani maneno yaliyo jitokeza ukutani yalikuwa haya mene mene tekeli na peresin maana yake ufalme wako umepimwa kwa mizani nao umeonekana umepungua ufalme wako wamegawanywa wabedi na wajemi belshazzar belshazzar belshazzar alidhani amefika akaanza kudharau watu kumbe safari bado mfalme belshazzar alidhani amefika akaanza kumdharau Mungu kumbe safari bado inaendelea safari bado maisha ni s safari baaado safari bado inaendelea bado safari bado bado maisha ni safari ndefu ndungu safari bado bado safari bado ndugu yangu usianze kudharau watu ndugu safari bado bado safari bado endelea kumheshimu Mungu ndungu safari bado inaeendelea safari bado
Hits: 4