Ibada Lyrics ibada_lyrics shamma we ni jehovah dear

shamma we ni jehovah dear

Lyrics Of The Song shamma we ni jehovah dear

Song ID 747

umenibeba juu halleluyah umenijenga juu ya mwamba aaah Mungu umeja wema aah na mapendo eeh nimeona uzuri wako ooooooh nani wa kufanana na ebenenezar Mungu wa israeli wa kupenda na kuchukua ni wewe jehovah aaaah umenifanya muriithi wakusudi lako wema kabisa yeye eeeh nimutumaini yeyeye yeye nani ila ila ebenezah na bado unanikumbatia wakati wa mawimbi tena bado unanizingatia na kunipa tumaini nafsi yangu ninakupatia nifinyangee eeeeh nitalinda moyo wangu uuuh ukufuateee eeeeeh

shamma we ni jehovah dear.mp3

shamma we ni jehovah dear.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Related Post