Shangwe Kuu

Lyrics Of The Song Shangwe Kuu

Song ID 232

shangwe kuu x2 shangwe kuu amezaliwa leo x2 shangwe kuu uu x2 shangwe kuu amezaliwa leo x2 aa aa hii ni siku ku bwa kwetu wakristu pamoja tunapoadimisha siku kuu hii x2 tumepata mwana mkombozi kwa heshima kuu ya bikira mariax2 maria mtakatifu amekuwa mama mama mama wa Bwana wetu

Shangwe Kuu.mp3

Shangwe Kuu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Related Post