Sifa Zote

Lyrics Of The Song Sifa Zote

Song ID 2098

sifa zote ni zako Bwana kwa yale yote unayofanya viumbe vyote vyakusifu uuh na sisi wana wako tunakuabudu sifa zote ni zako Bwana kwa yale yote unayofanya viumbe vyote vyakusifu mwokozi wetu na sisi wana wako tunakuabudu kwani ni wee kwani ni wewe unatupenda nani aokoa nani atupenda niwee umeniokoa niwe niwe niwee nani mfariji niwee nani abariki niwee tunasifu niwee niwee niwee sifa zote sifa zote mkombozi ni wewe Yesu Yesu Yesu utukuzwe milele kwani ni wee kwani ni wewe unatupenda

Sifa Zote.mp3

Sifa Zote.video.mp4 YouTube

 

Hits: 9

Leave a Reply

Related Post