Ibada Lyrics ibada_lyrics Tumeingia Nyumbani

Tumeingia Nyumbani

Lyrics Of The Song Tumeingia Nyumbani

Song ID 2978

tumeingia nyumbani mwa Bwana aah tushangilie tumwabudu ni Bwana Yesu ametualika tushangillie tumuabudu atukuzwe katika utatu uuh tumwimbie kwa nyimbo za shangwe ee ni Bwana Mungu muumba wetu uuh ni Bwana wa wafalme wote eeh

Tumeingia Nyumbani.mp3

Tumeingia Nyumbani.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Related Post