Lyrics Of The Song Tunainua Mikono yetu wewe Watosha
Song ID 3373
Bwana tumekuja kwako kuliinua jina lako kwani wewe watosha wewe furaha yetu ooh wewe watosha tunainua mikono yetu tukisema eeh Bwana katuokoa kutoka mautini tunasema we Bwana tunakiri uwezo wako ooh wewe watosha
Tunainua Mikono yetu wewe Watosha.mp3
Tunainua Mikono yetu wewe Watosha.video.mp4 YouTube
Hits: 34