Ibada Lyrics ibada_lyrics Tunakuabudu Mungu Mtakatifu

Tunakuabudu Mungu Mtakatifu

Lyrics Of The Song Tunakuabudu Mungu Mtakatifu

Song ID 986

tunakuabudu Mungu mtakatifu mfalme wa mataifa sifa ni kwako tunakuabudu Mungu mtakatifu mfalme wa mataifa sifa ni kwako unatawala kwa haki Mungu mtakatifu wewe ni Mungu wa uwezo Mungu mtakatifu tunakutukuza Mungu mtakatifu mfalme wa mataifa sifa ni kwako tunakutukuza Mungu mtakatifu mfalme wa mataifa sifa ni kwako wewe ni Mungu wa miungu Mungu mtakatifu nani afanane nawe Mungu mtakatifu unatawala kwa uwezo Mungu mtakatifu tunakuinua Mungu mtakatifu mfalme wa mataifa sifa ni kwako tunakuinua Mungu mtakatifu mfalme wa mataifa sifa ni kwako wewe ni Mungu wa uwezo Mungu mtakatifu unatawala kwa haki Mungu mtakatifu wewe ni Bwana wa maBwana Mungu mtakatifu nani afanane nawe Mungu mtakatifu jehova Mungu wa uwezo Mungu mtakatifu unatawala kwa mamlaka Mungu mtakatifu ooh halellujah baba twakuinua baba twakutukuza Mungu mtakatifu wewe Mungu wangu ooh

Tunakuabudu Mungu Mtakatifu.mp3

Tunakuabudu Mungu Mtakatifu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 20

Leave a Reply

Related Post