Ibada Lyrics ibada_lyrics Tunakuabudu Mwenye enzi

Tunakuabudu Mwenye enzi

Lyrics Of The Song Tunakuabudu Mwenye enzi

Song ID 1850

tunakuabudu tunakuabudu tunakuabudu mwenye enzi tunainama mbele zako tukikusujudu maana wewe ni mtakatifu wa watakatifu tunainama mbele zako tukikusujudu maana wewe ni mtakatifu wa watakatifu tunanyenyeke mbele zako nikisema wewe ni mtakatifu wa watakatifu ninakusujudu baba uko hapa Bwana Yesu uko hapa Bwana Yesu uko hapa Bwana Yesu uko hapa Bwana Yesu mwana wa Mungu simba wa yuda umetawala uko apa oooh imbia Yesu anayenipigania oooh imbia Yesu anayenipigania oooh imbia Yesu anayenipigania

Tunakuabudu Mwenye enzi.mp3

Tunakuabudu Mwenye enzi.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post