Ibada Lyrics ibada_lyrics Twendeni Askari

Twendeni Askari

Lyrics Of The Song Twendeni Askari

Song ID 3512

twendeni askari watu wa Mungu Yesu yuko mbele tumwandame juu ametangulia Bwana vitani twende mbele kwani ndiye amini twende askari watu wa Mungu Yesu yuko mbele tumwandame juu jeshi la shetani likisikia jina la mwokozi litakimbia kelele za shangwe zivume nchi n dugu inueni zenu sauti kweli kundi dogo watu wa Mungu sisi na mababa tu moja fungu hatutengwi nao moja imani tumaini moja na moja dini haya mbele watu nasi njiani inueni myoyo nanyi sifuni heshima na sifa ni ya mfalme juu hata chini sana zivume onward christian soldiers swahili version

Twendeni Askari.mp3

Twendeni Askari.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Related Post