Ibada Lyrics ibada_lyrics Umesikia Kilio Changu Yesu

Umesikia Kilio Changu Yesu

Lyrics Of The Song Umesikia Kilio Changu Yesu

Song ID 1637

kwa muda mengi nimeteseka aah nikuugua magonjwa sugu yaliyoshinda madakitari yaliyoshinda wenyi hekima wa dunia nilizunguka dunia kote eeh nikitafuta uponyaji wangu sikupata wewe Mungu umeniponya bure baba umeniponya bila malipo Yesu umeniponya kwa damu yako kama sio wewe nitamwabudu nani kama sio wewe nitamwabudu nani umesikia baba umesikia kilio changu ukanitoa shimoni Yesu ukanifanya kiumbe kipya kama sio wewe nitamwabudu nani kama sio wewe nitamwabudu nani umeniondolea aibu Yesu nilikataliwa ulinikubali baba ulinikubali jinsi nilivyo ukaniokoa kwa damu yako jehovah ukanikomboa kwa damu yako ukanijaza kwa damu yako kama sio wewe nitamwabudu nani kama sio wewe nitamwabudu nani kama si wewe wewe ni kinga kwa wanyonge wote baba wewe ni kinga kwa wasiojiweza wakikumbilia hakuna aibu wewe ni Mungu usiyebagua aah wewe ni Mungu haulinganishwi unapenda wote Mungu muumba aah nimekuchagua kati ya miungu Yesu kwa damu yako nimekombolewa umeyavuta laana yangu umebadilisha historia Bwana kama sio wewe nitamwabudu nani kama si wewe

Umesikia Kilio Changu Yesu.mp3

Umesikia Kilio Changu Yesu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 17

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post