Lyrics Of The Song Uweponi Mwako
Song ID 1526
uweponi mwako uweponi mwako nataka niwe uweponi mwako chini ya miguu yako karibu nawe Yesu nataka mimi niwe uweponi mwako nifiche kwa mabawa yako karibu nawe yahweh nataka niwe uweponi mwako Bwana maserafi makerubi wako mbele zako Bwana uweponi mwako Yesu ndipo twataka tuwe kanisa lako yahweh siku ya leo tunasema uweponi mwako ndipo nataka niwe naja mbele zako ewe Bwana ili nikuabudu ili nikuinue nasonga mbele yako wewe uliye juu nataka niwe karibu nawee
Uweponi Mwako.video.mp4 YouTube
Hits: 8