Lyrics Of The Song Wakusifiwa
Song ID 2323
wakusifiwa wakuabudiwa ni wewe tu Mungu wa miungu repeat ni wewe tu Bwana Mungu wa miungu ni wewe tu Bwana Mungu wa miungu hakuna kama wewe Bwana Mungu wa miungu Mungu wa miungu repeat wastahili heshima na sifa Mungu wa miungu haleluya repeat astahiliye heshima utukufu na nguvu ni wewe tu Mungu wa miungu eeenh mamlaka ni yako heshima ni zako ni wewe tu Mungu wa miungu repeat wastahili heshima zote Mungu wa miungu twakusifu twakutukuza twakubariki ewe Bwana repeat eeeh umetukuka eeenh unastahili eenh tunakupenda eenh twakuinua eeenh twakubariki
Hits: 35