Washangaze

Lyrics Of The Song Washangaze

Song ID 3525

ooh washangaze wajue ooh wewe ni mshindi ooh washangaze wajue ooh wewe ni mshindi mimi umenichora kwenye vitanga vya mikono yako wengi wanaomba mabaya ili niangamie ili nipotee ila hutoniacha baba ili niangamie wewe tuliza kiu yangu we rejesha amani rudisha heshima wajue rejesha afya yangu Yesu ooh uzima wangu baba nikutukuze wewe wajue wakitabiri maneno sijali mimi nakuangalia tumaini langu kiongozi wangu mengi ulinivusha wakaduwaa eeeh eeeh yaani kama lile lilipita sina mashaka eeeeh eeeh hata wala silalamiki sikatishwi tamaa na dhiki Mungu wangu we hujawahi kushindwa ngo ninaendelea kunena nikijua wewe ulishaishinda mauti matatizo yangu madogo vidogo vidogo vitoto vitoto naomba ukashughulike na mahitaji yetu baba ukashughulike na ndoa zetu Yesu ukashughulike na watoto wetu ukashughulike na maadui zetu teena ukashughulike na mahitaji yetu baba ukashughulike na ndoa zetu Yesu ukashughulike na watoto wetu ukashughulike na maadui zetu ooh washangaze wajue ooh wewe ni mshindi nakuita washangaze ooh washangaze wajue ooh wewe ni mshindi haya tembea tembea tembea tembea tembea baba tembea tembea tembea tembea tembeaa neema ft goodluck

Washangaze.mp3

Washangaze.video.mp4 YouTube

 

Hits: 9

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post