Lyrics Of The Song Wastahili ewe Bwana Kupokea utukufu – Tunakuabudu
Song ID 2036
tunakuabudu Bwana tunakuabudu tunakuabudu jehovah tunakuabudu tukisema wastahili ewe Bwana wastahili ewe bwaa wastahili ewe Bwana kupokea utukufu tunakuinua Bwana tunauinuia tunakubariki Bwana tunakukubariki tunakuheshimu Bwana tunakuheshimu wastahili ewe Bwana wastahili ewe Bwana wastahili ewe Bwana kupokea utukufu
Wastahili ewe Bwana Kupokea utukufu – Tunakuabudu.mp3
Wastahili ewe Bwana Kupokea utukufu – Tunakuabudu.video.mp4 YouTube
Hits: 26