Lyrics Of The Song Yesu ni Muweza
Song ID 1918
Yesu ni muweza Yesu ni muweza Yesu ni muweza aaaah aweza yote Yesu ni muweza Yesu ni muweza Yesu ni muweza aaah aweza yote siku moja Bwana Yesu kwa uweza njiani alikemea mti ukanyauka watu wote walioliona tendo hili la ajabu wakashangaa vilevile alikemea thoruba bahari ikatulia pia aliwaponya wagonjwa na kuwafufua wafu watu wakashangaa ndivyo itakavyo kuwa leo hii Bwana Yesu akianza kushugulika kuondoa matatizo mbalimbali uliyo nayo utafurahi na kushangilia Yesu ni muweza Yesu ni muweza Yesu ni muweza aaaah aweza yote Yesu ni muweza Yesu ni muweza Yesu ni muweza aaah aweza yote hatakama daktari alishakukatisha tamaa hutapona Bwana Yesu anaweza kukuponya leo ukafurahi na kushangilia kama ni matatizo ya ndoa au kiuchumi Yesu ni muweza kama ni masomo darasani au biashara Bwana Yesu anainua aaaah Yesu ni muweza Yesu ni muweza Yesu ni muweza aaaah aweza yote Yesu ni muweza Yesu ni muweza Yesu ni muweza aaah aweza yote bibilia inaeleza habari ya zakayo aliyepanda mkuyuni kwa kuwa Bwana Yesu ni muweza akatambua mawazo yake kwa upendo akamwita kwa jina zakayo shuka akashuka siku iyo akawa wa neema kwa Bwana Yesu akapata wokovu basi leo anakuita kwa jina shuka upesi akuchongechonge akufanye apendevyo yeye iyee Yesu ni muweza Yesu ni muweza Yesu ni muweza aaaah aweza yote Yesu ni muweza Yesu ni muweza Yesu ni muweza aaah aweza yote bridge oh Yesuuu Yesu ni muweza Yesu ni muweza Yesu ni muweza aaaah aweza yote Yesu ni muweza Yesu ni muweza Yesu ni muweza aaah aweza yote Jesus is able Jesus is able Jesus is able he is able of all things yusto onesmo Yesu ni muweza
Yesu ni Muweza.video.mp4 YouTube
Hits: 10