Lyrics Of The Song Mahali Pa Raha
Song ID 1150
mahali pa raha ya moyo wapi anikingiaye mabaya ndani dunia haina makimbilio nisposhindwa na makosa yangu sipo sipo hapa sipo mbinguni ni ngome ya raha yangu iache dunia ione kombe unapofurahishwa moyo wapi ni yerusalemu pazuri inapojengwa na mawe mazuri ya dhahabu ndipo ndipo ndipo ngome ya makimbilio ya moyo wangu angani mwa Yesu ni raha ajabu hakuna makosa na shida huko vinubi sauti na nyimbo nzuri raha raha raha tamu mbinguni kwa Yesu naitamani
Mahali Pa Raha.video.mp4 YouTube
Hits: 5