Ibada Lyrics ibada_lyrics Bwana uliyewaita

Bwana uliyewaita

Lyrics Of The Song Bwana uliyewaita

Song ID 789

Bwana uliyewaita watakatifu wako wawe mitume wachunga walishe kundi lako wanyonge na wenye hofu wakawa mashujaa na wapole wa kunena wasiwe kunyamaa hata leo wawataka watakatifu wako nawe wauliza tena ni nani aliyeko atakaye nimtume afundishe vijana ni tayari Bwana wangu nitume mimi Bwana nitume na mimi Bwana kama ulivyotumwa habari ya msamaha na dhambi kutubiwa niwahubiri wakosa na waliopotea wokovu u wake Bwana aliyewafilia astahiliye hapana kutamka habari lakini wewe waweza kutufanya tayari neno lako tulijue tupe na roho yako hayatakuwa ya bure haya maneno yako

Bwana uliyewaita.mp3

Bwana uliyewaita.video.mp4 YouTube

 

Hits: 13

Leave a Reply

Related Post