Ibada Lyrics ibada_lyrics Yesu awakubali wakosa

Yesu awakubali wakosa

Lyrics Of The Song Yesu awakubali wakosa

Song ID 1975

Yesu awakubali wakosa wahalifu wambieni wa mbali habari ya wokovu tangazeni kwa bidii akubali wakosa liwe neno dhahiri akubali wakosa awakubali wote neno lake amini watu kila aina waje kwake tengoni mimi ni safi moyo na mbele ya sharia aliye safi roho kwake ilitimia akubali wakosa nami anikubali alivyonitakasa mbinguni niwasili mteteeni Yesu

Yesu awakubali wakosa.mp3

Yesu awakubali wakosa.video.mp4 YouTube

 

Hits: 14

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post