Ibada Lyrics ibada_lyrics Take My Life

Take My Life

Lyrics Of The Song Take My Life

Song ID 1015

take my life and let it be consecrated Lord to thee take my moments and my days let them flow in ceaseless praise take my hands and let them move at the impulse of thy love take my feet and let them be swift and purposeful for thee take my voice and let me sing always only for my king take my intellect and use every power as thou shalt choose take my will and make it thine it shall be no longer mine ttake my heart nit is thine own it shall be thy royal throne take my love my Lord i pour at thy feet its treasure store take my self and i will be eever only all for thee sasa wakati umefika sasa wakati umefika wwa kushika nilicho nacho mimi kwa wema niende kwa Mungu nitoe zawadi sasa wakati umefika kwenda mbele ya Mungu wangu mimi aone nilivyoandaa zawadi ya leo nitamwambia Bwana pokea hiki kidogo nilicho nacho kwani Mungu wewe wanijua mimi siwezi hata kueleza nakusihi sana baba unipokee nigawie na baraka niwe salama mema yote niliyo nayo yametoka kwa Mungu hivyo nami ni kosa kusahau kumshukuru kwani kuwepo hapa leo hii ni kazi ya nani kamwe mimi sitapata uwezo pasipo Mungu mema yote aliyotenda Mungu nijibu nini na vipi mbona hofu yazidi kuwa ndani ya moyo wangu mbele ya Bwana Mungu wangu kufanya siri ni bure yeye ndiye mpanga mambo yote ya wanadamu pumzi inayonipa uhai inatoka kwa nani bila Mungu hakika mwanadamu siwezi kitu nimepata nafasi leo ya kwenda kutoa zawadi heri niende ya kesho siyo yangu ajua baba ewe mwumba wa vyote duniani na vyote vya mbinguni mimi leo nakuja kwako baba nihurumie baba wewe unayetawala kulala na kuamka kwangu juu yangu utake nini baba lisifanyike

Take My Life.mp3

Take My Life.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Related Post