Lyrics Of The Song Nishike Mkono Bwana
Song ID 1294
nishike mkono Bwana nishike mkono nishike mkono Bwana nishike mkono mimi na wewe Bwana mimi na wewe mimi na wewe Bwana mimi na wewe twende pamoja Bwana twende pamoja twende pamoja Bwana twende pamoja siwezi bila wewe siwezi Bwana siwezi bila wewe siwezi Bwana uniinue Bwana uniinue uniinue Bwana uniinue
Nishike Mkono Bwana.video.mp4 YouTube
Hits: 4