Lyrics Of The Song TUNAKUABUDU lyrics by Evelyn Wanjiru
Song ID 2724
tunakuabudu tunakuabudu tunakuabudu mwenye enzi 2 tunainama mbele zako tukikusujudu maana wewe ni mtakatifu wa watakatifu tunanyenyeke mbele zako nikisema wewe ni mtakatifu wa watakatifu ninakusujudu baba uko hapa Bwana Yesu uko hapa Bwana Yesu 2 mwana wa Mungu simba wa yuda umetawala uko apa oooh imbia Yesu anayenipigania oooh imbia Yesu anayenipigania 3
TUNAKUABUDU lyrics by Evelyn Wanjiru.mp3
TUNAKUABUDU lyrics by Evelyn Wanjiru.video.mp4 YouTube
Hits: 15