Ibada Lyrics ibada_lyrics Twonane Milele – Nyimbo Na Tuziimbe Tena

Twonane Milele – Nyimbo Na Tuziimbe Tena

Lyrics Of The Song Twonane Milele – Nyimbo Na Tuziimbe Tena

Song ID 3340

nyimbo na tuziimbe tena za alivyotupenda mbele kwa damu ya thamani sana mbinguni twonane milele twonane milele twonane bandarini kule twonane milele twonane bandarini kule hupozwa kila aoshwaye kwa damu ya kondoo yule ataishi afurahiye vya Yesu mbinguni milele twonane milele twonane bandarini kule twonane milele twonane bandarini kule hata sasa hufurahia tamu yake mapenzi yale je kwake tukifikilia kutofarakana milele twende mbele kwa jina lake hata aje mwokozi yule atatukaribisha kwake tutawale naye milele sauti zetu tuinue kumsifu mwokozi yule ili watu wote wajue wokovu u kwake milele

Twonane Milele – Nyimbo Na Tuziimbe Tena.mp3

Twonane Milele – Nyimbo Na Tuziimbe Tena.video.mp4 YouTube

 

Hits: 5

Leave a Reply

Related Post