Ibada Lyrics ibada_lyrics Nimehitaji Mwokozi

Nimehitaji Mwokozi

Lyrics Of The Song Nimehitaji Mwokozi

Song ID 287

nimehitaji mwokozi awe nami daima nataka mkono wake kunizunguka sana hofu rohoni sina aniongoze tena sitanungnika tena nikufuate daima nimehitaji mwokozi sina imani nyingi atanifufua moyo wengine hawawezi hofu rohoni sina aniongoze tena sitanungnika tena nikufuate daima nimehitaji mwokozi mwendoni mwa maisha katika mateso mengi tena katika vita hofu rohoni sina aniongoze tena sitanungnika tena nikufuate daima nimehitaji mwokozi kiongozi njiani kwa jicho aniongoze nifike mbinguni hofu rohoni sina aniongoze tena sitanungnika tena nikufuate daima hofu rohoni sina aniongoze tena sitanungnika tena nikufuate daima

Nimehitaji Mwokozi.mp3

Nimehitaji Mwokozi.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Related Post