Ibada Lyrics ibada_lyrics Cha kutumaini sina ila damu yake Yesu

Cha kutumaini sina ila damu yake Yesu

Lyrics Of The Song Cha kutumaini sina ila damu yake Yesu

Song ID 2511

cha kutumaini sina ila damu yake Bwana sina wema wa kutosha dhambi zangu kuziosha kwake Yesu nasimama ndiye mwamba ni salama ndiye mwamba ni salama ndiye mwamba ni salama damu yake na sadaka nategemea daima yote chini yakiisha mwokozi atanitosha njia yangu iwe ndefu yeye hunipa wokovu mawimbi yakinipiga nguvu zake ndiyo nanga nikiitwa hukumuni rohoni nina amani nikivikwa haki yake sina hofu mbele yake

Cha kutumaini sina ila damu yake Yesu.mp3

Cha kutumaini sina ila damu yake Yesu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Related Post